T Tus66 Member Joined Apr 9, 2012 Posts 14 Reaction score 1 Jun 30, 2014 #1 Kama sijakosea neno udhu utumiwa na ndugu zetu waislamu,nimekuwa nikidadisi kujua maana halisi ya neno hilo bila mafanikio leo naomba wana JF mnifahamishe maana ya neno udhu katika uislam.
Kama sijakosea neno udhu utumiwa na ndugu zetu waislamu,nimekuwa nikidadisi kujua maana halisi ya neno hilo bila mafanikio leo naomba wana JF mnifahamishe maana ya neno udhu katika uislam.