Halmashauri ya wilaya ya Sumbawanga imefanya kitendo kibaya kwa walimu wa ajira ya mwaka 2010 grade iiiA , imeletewa walaka wa kuwalipa walimu fedha yao ya nauli na mizigo lakini haikuwalipa ,baada ya walimu hao kupata walaka huo na kuupeleka mahali pale na kudai haki yao walicho ambiwa nikuwa deni lime expiry .
Je ni haki kweli ,je wao hawakujua kuwa wanatakiwa kulipa,au waliwazima ili wajekusema zime expiry?