Hebu mwageni jina la huyo fisadi Mdini anayeshughulikia hiyo ajira.
Maboss wa Udom kama ni kweli basi waanze kujipanga vizuri maana waandishi wa habari hii kitu inauzika kabisa.
From UDOM website:
Chancellor :BW Mkapa
Chairman of University Council : Mohammed Ghalib Bilal
Vice Chancellor : Prof. Idris Kikula
Deputy VC Planning,Finance
Administration : Prof Shaaban Mlacha
Tutajaza!!!!!!
kama hao viongozi ni radicals muslims hicho chuo hakiwezi kwenda kokote kwani uislam na shule za kidhungu ni vitu viwili tofauti (refer Nigerian moslem "Teleban, Alqaida"), hao jamaa walishatamka kabisa kuwa elimu hiyo si sahihi kwa waislamu, lakini kama ni waislamu wa majina chuo kitafiaka mbali kwani ni lazima watakuwa bega kwa bega na watu wa shulehilo linawezekana kwa hii serikali ya awamu ya nne
du kama hali ipo hivyo hakuna ubishi
Home of great sinkers! sasa na huyo Mkapa nae muislam? hivi udini ni kuwa na viongozi wa 3 wa juu waislamu? kwa hiyo UDSM nako kuna udini?
Mleta mada ndio mdini kwani inahitaji uwe mdini ili kujua mdini!
Kuna vitu vingine wala havihitaji ufaham mkubwa kiasi hicho. Ushahidi wa mshahara ni jambo la kitoto sasa tena inapokuja kwenye sector ya elimu. Scale zipo wazi saana. Unachotakiwa kufanya ni kusoma tu na si jingine. Maana kana huna elimu au machapisho kwenye academic institution lazima ubwabwaje tu. Kwahiyo kwenye mishahara kwenye academic institution ni claim ya kitoto.
Hilo la kwenye udini, hebu tumchokonoe kikula tokea yupo Ardhi alikuwa hivyo? Watu wanaandika tu kutokana na majina. Lets be realistic. Malumbano ya kidini yamejaa JF kuliko hata kwa Watanzania wasiojua kugusa kubonyeza key board. Na hayajengi.
Mkapa akiwa Raisi alitoa chuo cha Tanesco Morogoro kuwa Chuo Kikiuu cha Kiislam