Udini wa kutisha UDOM!

Status
Not open for further replies.

Punguza ukali...
 
Ila jamani mkija in reality je mwajua kuwa chuki kubwa dhidi ya Wakristo na waislam inaonekana online tu ila nje ya keyboard sie ni ndugu na tunaishi, tunakula, tunaoana, tunazikana bila kujali nani ni nani? Dini km dini sio tatizo hata kidogo...tatizo mentality za watumia keyboard wa humu Jf
 
MKRISTO GANI ALIYELALAMIKA KUWA UDOM IMEJAA WAISLAM?lete ushahidi
 
Tutakutana tarehe 2 Ijumaa hii enyi Wagalatia Msio na akili. Uislam ni janga la taifa. Ni bora kulala na Mgonjwa wa ebora kuliko kuishi na kufanya kazi na mwislam. People who can not think and decide wisely. Hebu ona: Quran ikojolewe na mtoto aliyetokea shule kisha jitu zima likachome kanisa je ni kanisa lilikojolea quran? Utafikiri wanafikiria kwa kutumia MASABURI.
 
wakiristo mna roho mbaya sana ila haitusumbui kwani Quran inasema ''kamwe hawatoridhika mayahudi na wakiristo mpaka mfuate mila zao'' kwa wale wasiofahamu udom ina takriban wanafunzi 20,000 ambapo 17,000 ni wakiristo na 3,000 ni waislamu, administrative staffs wako 320 ambapo wakiristo ni takriban 238 na waislam ni 82 kwa upande wa malecturer wako takriban 500 ambapo wakiristo ni zaidi ya asilimia 70. Sasa sijui kupendelewa kwa waislamu kunatoka wapi? Pia udom ina college 5 na zote zinaongozwa na wakiristo(principles). Hapa utakuja kugundua kwamba kelele zote ni kwasababu kuna baadhi vyeo vya juu vinashikwa na waislamu? Yoyote anaweza utafiti na atagundua watu wanaropoka tu. Acheni hatutafika.
 

Wewe ni muongo mkubwa sana na unaudhalilisha uislam na quran takatifu.
Hizi data umetoa wapi? yataje majina matano ya hao ma principles wakristo na umejuaje kuwa ni wakristo
 
wakiristo mna roho mbaya sana ila haitusumbui kwani Quran inasema ''kamwe hawatoridhika mayahudi na wakiristo mpaka mfuate mila zao'' kwa wale wasiofahamu udom ina takriban wanafunzi 20,000 ambapo 17,000 ni wakiristo na 3,000 ni waislamu, administrative staffs wako 320 ambapo wakiristo ni takriban 238 na waislam ni 82 kwa upande wa malecturer wako takriban 500 ambapo wakiristo ni zaidi ya asilimia 70. Sasa sijui kupendelewa kwa waislamu kunatoka wapi? Pia udom ina college 5 na zote zinaongozwa na wakiristo(principles). Hapa utakuja kugundua kwamba kelele zote ni kwasababu kuna baadhi vyeo vya juu vinashikwa na waislamu? Yoyote anaweza utafiti na atagundua watu wanaropoka tu. Acheni hatutafika.
 
We acha kuongea kam
a umefufuka.! Aman
ya nch hii ipo mikono
n mwetu,lakin cha aja
bu zaid waislam tuki
uwa kwa ajil ya mung
u tunalipwa na tukiu
wawa tunalipwa.
(win-win principle)
JE NYINY MNAWEZA???
Kauawe kwa ajili ya huyo mungu wako uone, sekunde chache baada ya roho kutengana na mwili utakutana na shetani mwenyewe na atakudhihaki sana kwa namna alivyokudanya na wewe kumwabudu ukadhani ni Mungu wa kweli kumbe ibilisi. Kama una akili ya kukutosha shutuka kabla hujatokomezwa, umpokee Yesu kuwa Bwana na mwokozi wako.
 
Wewe ni muongo mkubwa sana na unaudhalilisha uislam na quran takatifu.
Hizi data umetoa wapi? yataje majina matano ya hao ma principles wakristo na umejuaje kuwa ni wakristo

mimi nimefanya utafiti kachukue prospectus ya udom utapata data sio unataka utafuniwe kitu kama ambavyo mnasomewa mistari ya biblia. Ukishindwa utasema nikuelimishe mana ndio kazi yetu waislamu.
 
We waache wapige kelele kwan ndo walivyokaririshwa na mitume na manabii wao.We nyamaza kwan hzo kelele za udini zimeleta athari gan tangu zianze kupigwa.
 
yani hilo ni kweli hadi vikao vyenu vya kuchagua viongozi wa chuo kwa kigezo cha udini si mnavyo? udom kumejaa udini na ndo maana chuo hakina hadhi kile...chuo cha kata

Kwa hyo vyuo vikuu vyote vinavyoanzishwa sasa hv tz ikiwemo udom n vya kata!?.Tumia akili na siyo masaburi!,una uhakika?
 

Na wewe umevuka mipaka!
 
We acha kuongea kam
a umefufuka.! Aman
ya nch hii ipo mikono
n mwetu,lakin cha aja
bu zaid waislam tuki
uwa kwa ajil ya mung
u tunalipwa na tukiu
wawa tunalipwa.
(win-win principle)
JE NYINY MNAWEZA???

MUNGU aliyeumba vyote ukiwamo ww hayupo hivyo.hapiganiwi anaitwa YEHOVA YILE.ila munguwenu allah inaonekana hana nguvu ndiomana mnampigania hatakujitoa uhai wenu.ila wetu ni BWANA wavita.tenaanasema,nami nitawapigania nanyi mtanyamaza kimya.sisi kimya yeye kazi.wenu kimya ninyi kazini kazi mnayo.
 

Memefanya kazi sana na wenzetu hawa kitu nilichoona tofauti na wakristo ni pale wanavyoweza kuutumia uislamu ili kupata upendeleo fulani.mahala fulani nilikwenda na boss wangu kuomba tenda fulani na maelezo ya bosi wangu yalikuwa kama ifuatavyo. bosi: asalam walekuu,sheh habari za kazi,na baada ya hapo mazongumzo yaliendelea na moja ya sentense ambayo niliona ni ya kidini zaidi ni pale bosi wangu alivyosema."na baada ya kuona wewe muislamu mwenzangu ndiyo uko hapa nikaona nije nikuoni kwani sisi waislamu hatutupani" hili ni neno ambalo nilijaribu kufikiri kama ningekwenda ofisi ambayo mkristo ndiyo bosi then nimwambie. nimeona upo wewe mkristo mwenzangu nikaona nije nikuone kwani wakristo hatutupani.waislamu wengi wanatumia dini kupata manufaa fulani ni kwa sababu pia kwenye quroan tukufu kuna mwongozo wa aina hiyo.
 
hahahahahahaa mfumo islamu .....lol embu acheni haya mambo watu jamani...kha
 
We acha kuongea kam
a umefufuka.! Aman
ya nch hii ipo mikono
n mwetu,lakin cha aja
bu zaid waislam tuki
uwa kwa ajil ya mung
u tunalipwa na tukiu
wawa tunalipwa.
(win-win principle)
JE NYINY MNAWEZA???

I guess you mean god and not GOD..........!!!
 

Nimekusoma mkuu, unajua nilichojifunza ni kwamba mtu akikosa kazi au nafasi sehemu fulani huwa anasingizia udini maana mimj nimesoma udom na walimu wangu wengi wa biashara walikuwa wakristo mfana Kajale, Elia Sarah, Yusilida, Minja na Dean wa school yangu alikuwa mkristo Prof Mwamfupe, principle wa College yangu alikuwa mkristo Prof. Rugamwanya na DVC-ARC ni mkristo Prof Kinabo just to mention a few, sasa sielewi hizi hoja za CHUKI zisizo na mashiko! Nimekunywa KAHAWA ya Kilimanjaro karibu na wewe!
 

Tatizo hamtaki kusoma.
 

hao waliopata nafasi kama wamezipata kwa kigezo cha uislamu ata kama ni wachache huo ni udini...ata ivyo nchi hii tukisema tufuate qualifications hatutapata muislamu kwenye idara yoyote,ni kuwasaidia tu awa ndugu zetu.
 
So kwahiyo mkakati ni kwamba kila siku lazima ianzishwe thread tena si moja ambayo iko agaisnt muslimu.
Sijui lengo hasa nini.halafu waislam wakitokea wengi na wakajibu hoja thread inatolewa.
Baadae inaweka ingine.chunguzeni ndivo nilivyogundua.
Someone,somewhere is stringup the pot.
Like...''let's just put a little spin on this and just see where it goose.''
SOME NUTJOB.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…