UDINI waja upya bagamoyo sec.

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,162
Reaction score
796
zengwe
linasukwa upya na walimu waliobaki shuleni hapo. Inasadikika walimu
wanapanga upya mgomo kwa watoto wao.
 
Badala ya kusoma wao wanaendekeza mambo ya ujinga ujinga,mtihani ikija ni MAZOMBI matupu kwenye paper,matokeo yakitoka mara hoo turudie mtihani,mara hoo matokeo ya moko ndiyo yatumike,mara hoo mitihani isahiishwe upya,mara hoo tunaandamana kudai matokeo mazuri,mara hoo matokeo yamechakachuliwa.Someni vijana acheni mambo ya kipuuzi.
 

tehtehteh,ni kweli umenena kiongozi
 
Huyo mwalimu naye anatakiwa amulikwe na the same torch that was used by TCRA to redio imaan & kwa neema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…