Ally ucher
New Member
- Oct 14, 2018
- 2
- 0
Ni mgahawa au hoteli ya chakulaDaah nakuonea donge umepata akili hiyo ukiwa na miaka 16 nawakati mimi katika umri huo sina chochote nachokijua zaidi ya kumeza masomo tu, kingine 16 umemaliza four nakati mimi umri huwo nipo form two, pambana mkuu kama umestuka mapema target kabla 20 ufike mbali sio kidogo.
Ila iyo Eatery ndio nini.
Hta mmi siijuiDaah nakuonea donge umepata akili hiyo ukiwa na miaka 16 nawakati mimi katika umri huo sina chochote nachokijua zaidi ya kumeza masomo tu, kingine 16 umemaliza four nakati mimi umri huwo nipo form two, pambana mkuu kama umestuka mapema target kabla 20 ufike mbali sio kidogo.
Ila iyo Eatery ndio nini.
Njia tutakazo tumia kujipromoteNini unataka Jf members tukusaidie?
ulianza shule na miaka mingap?