Athumani Kawambwa
Member
- Sep 22, 2017
- 9
- 2
Wakuu leo nadhani ni siku yangu nyingine kutumia gharama kubwa kutoka mbagala rangi tatu hadi mzinga.
Kiukweli kuna namna naona serikali inachukulia poa hili jambo.
Ni serikali ambayo imesupport wilaya ya mkuranga kuwa na viwanda vingi bila kurekebisha miundo mbinu.
Ni ombi langu hili litawafikia na kufanyiwa kazi.