Athumani Kawambwa
Member
- Sep 22, 2017
- 9
- 2
Nyie mnatia huruma, sasa nyie mpewe nini mbadilike MMMBUNGE WENU NDIO WAZIRI WA UJENZI,NA KWAKWE NI MLAMLENI TU NA ANATUMIA HIYO NJIA AKIENDA KWAKE WAKATI WA KUOMBA KURA JAPOKUWA KWA SASA ATAKUWA ANAISHI OSTERBAY/MIKOCHENI/MBWENIWakuu leo nadhani ni siku yangu nyingine kutumia gharama kubwa kutoka mbagala rangi tatu hadi mzinga.
Kiukweli kuna namna naona serikali inachukulia poa hili jambo.
Ni serikali ambayo imesupport wilaya ya mkuranga kuwa na viwanda vingi bila kurekebisha miundo mbinu.
Ni ombi langu hili litawafikia na kufanyiwa kazi.
Mzinga huo utakuwaHapo ni wapi ? mbande ama Kongowe ?
Mzinga wa wapi, maana mto mzinga unapita kila sehemu. Kitunda mwanagati mto mzinga upo, Kivule mto mzinga upo, tambani mbande upo, kitunda magole mto mzinga upo, buza kwa mpalange mto mzinga upo.M
Mzinga huo utakuwa
Mzinga ya mbagala kama unaenda kongoweMzinga wa wapi, maana mto mzinga unapita kila sehemu. Kitunda mwanagati mto mzinga upo, Kivule mto mzinga upo, tambani mbande upo, kitunda magole mto mzinga upo, buza kwa mpalange mto mzinga upo.
Je huo ni mzinga wa wapi ?
Tumekamilisha mikakati kazi ingeanza isipokuwa kama unavyoona mvua zinazoendelea nchini zimeharibu mikakati, hata hivyo tunaifanyia kazi kwani imefikia asilimia 82.59099.Wakuu leo nadhani ni siku yangu nyingine kutumia gharama kubwa kutoka mbagala rangi tatu hadi mzinga.
Kiukweli kuna namna naona serikali inachukulia poa hili jambo.
Ni serikali ambayo imesupport wilaya ya mkuranga kuwa na viwanda vingi bila kurekebisha miundo mbinu.
Ni ombi langu hili litawafikia na kufanyiwa kazi.