rightstrict
Senior Member
- Aug 25, 2014
- 100
- 15
ADMISSION LETTERS FOR DEGREE PROGRAMMES & SPECIAL PROGRAMMES DIPLOMA IN SCIENCE, MATHEMATICS AND ICT EDUCATION WILL BE AVAILABLE FOR DOWNLOAD FROM WEDNESDAY 01/10/2014 FROM 17:00
SOURCE.; alis.udom.ac.tz
The informations given above earlier today has been rescheduled to the below enquiries..
ADMISSION LETTERS FOR DEGREE PROGRAMMES & SPECIAL PROGRAMMES DIPLOMA IN SCIENCE, MATHEMATICS AND ICT EDUCATION WILL BE AVAILABLE FOR DOWNLOAD FROM THURSDAY 02/10/2014 FROM 16:00.
source; alis.udom.ac.tz
Loan board nasikia katoa majina
Loan board nasikia katoa majina
Loan board nasikia katoa majina
admission zinasumbua sana maana dogo kila akijaribu kupafungua inagoma aliyefanikiwa anijuze jamani nimuokoe dogo.asante
labda wanadownload na michina ndo maana wanashindwa
kaka umechukua ya facult ipi kaka plz tuambie??
inaonekana kuna baadhi ya majina walikuwa hawajaingiza wamesema wanafanyia kazi mambo yatakuwa sawa baada ya siku chache nimewasiliana nao leo mchana