Imefikia mahari ambapo Wanazuoni na wakereketwa wa Elimu Tanzania waingilie kati kuhusu mambo yanayotendeka UDOM! Itafikia mahari mpaka watu wataogopa kujitambulisha kuwa wanaso/kufanyakazi UDOM! Kwa kweli mambo ya kihuni yamezidi! Prof. Kikula elimu yako bado ina uhalali kweli?! Mh. B. Mkapa kwanini mnakubaliana na aibu hizi UDOM!? Au mmzeeka!? Sitaki kuamini kama haya ni maamuzi ya Wasomi!