Udom-aris imetema!

MAKOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
618
Reaction score
280
Wazee wa UDOM kazi kwenu. tembeleeni ARIS ili mjionee mambo
 
ARIS ni nini?
Kama unajua maana SARIS hiyo haito kusumbua ila ngoja nikujibu swali ni system ya mtandao ambayo hutumika na vyuo vingi ili kuweka data za mwanafunzi husika kama vile matokeo na vingine vingi ni hayo tu.
 
Asante, SARIS naijua. naijua tokea OUT.
 
hii nafikiri ni kwa finalist tu na sio matokeo ya wanafunzi wengine
 
Jaman mbona nafungua ARIS inasumbua alaf haijawa updated?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…