HESLB hawatutakii mema hata kidogo haiwezekani moaka leo hii mwezi umeisha lakini hamna pesa ya kujikimu mfano mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma nimefuatilia pesa lakini majibu ni kwamba tunapandisha kwa batch , kwa hiyo mkae tutawapandishia , inauuma sana mie wazazi hawana uwezo wa kunitumia pesa ya kujikimu mwisho wa siku tunakimbilia kukopa kwa watu ambao hawana hata vigezo , wala vibali vya kuendesha biashara ya fedha, na dhamana yake unakuta ni vyeti vya elimu na riba yake ni kubwa
Bodi ya Mikopo (HESLB)
Bodi ya Mikopo (HESLB)