Udom- bed.guco

TIGOTIGO

Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
5
Reaction score
0
Jamani wadau,,nimechaguliwa udom bachelor of education in guidance and couceling. Lakini nimekosa kabisa mkopo toka loan board. Nasikia huwa kunakuwa na ku appeal bodi. Naombeni mwenye kujua process za ku appeal anisaidie. Ntaanzaje?
 
hata mm nimechaguliwa bed guco,ila jins me navyojua kuappel n baada ya kufika chuon hz nafas ndo zinatoka,ila ucjal kaka ndo maisha,2kutane oct 12 colleg ya education
 
hata mm nimechaguliwa bed guco,ila jins me navyojua kuappel n baada ya kufika chuon hz nafas ndo zinatoka,ila ucjal kaka ndo maisha,2kutane oct 12 colleg ya education

tutakuwa pamoja hiyo tar 12 oct kwenye hiyohiyo college of educ.
 
Karbun sana, am pursuing the same degree programme, bt am a third year now, !welcome counselors
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…