K kajuka JF-Expert Member Joined May 9, 2013 Posts 601 Reaction score 229 Oct 18, 2013 #1 wakubwa nipo udom mwaka wa kwanza, natafuta wana wa ukweli kuanzia kwenye buku mpaka kwenye kuinua mioyo. vitu vya dia gambe siku za wkend.
wakubwa nipo udom mwaka wa kwanza, natafuta wana wa ukweli kuanzia kwenye buku mpaka kwenye kuinua mioyo. vitu vya dia gambe siku za wkend.
omereyo JF-Expert Member Joined Oct 20, 2012 Posts 308 Reaction score 91 Oct 18, 2013 #2 Utaliwa kichwa usidharau chuo cha kata
K kajuka JF-Expert Member Joined May 9, 2013 Posts 601 Reaction score 229 Oct 18, 2013 Thread starter #4 omereyo nitadharau vp wakati nipo hapo.