Udom boom latema...Hooray!!

Ile kuingza 2 atm card naona account inacheka hahahahahahahah!!!nw cpg pasi ndefu teeena
 
Mwaka wa pili na kuendelea bado, na wale mwaka wa 1 college ya nat and math sciences hawajapata.
 
Hongera udom kilio chenu kimesikika coz mwaka semester iliyopita walitokea kuwasahau.
 
Hongera udom kilio chenu kimesikika coz semester iliyopita walitokea kuwasahau.
 
college of earth science ndio kwaanza tumesign jana, majina yalichelewa eti kufika. College ya health and allied science bado pia...
 
Angalieni wadada wanawindana hapa dom yasije yakawakuta yaliyomkuta kibonge!!
 
Hongereni wana-kata mungu awape hekima kwenye matumizi ya pesa
 
Jaman wasomi hilo bumu ni kitabu gan?Tujuzeni sisi walala hoi.
 
Pole pole wadau isije ikawa wiki ijayo siku kama ya leo mkono shavuni mlo wa jioni ukaanza kuwindwa kwa wale wagumu wapikao dagaa kwa ugal mfululizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…