Wakuu nyie mpo kwny college zipi hapa UDOM?bcoz jana tulisikia tetesi kuwa wamezifeed kwny A/C zetu,leo asubuhi mwanangu mmoja hv yuko kule HUMANITIES akanambia kuwa CRDB a/c ilikuwa na 0 balance lakini leo kaenda kucheki kakuta 651700 baada ya charge ya sh.8000 ya ATM card coz ni a/c mpya,
Kutokana na shauku nikaenda pale CRDB kucheki salio langu,unluckly nikakuta ni sh.5000 tu nilipohoji nikaambiwa ni kweli kuwa kuna batch 1&2 zimetoka za boom kwa wale wa social na humanities,kuhusu COED tuwe wavumilivu,
BOOM LIMETOKA