UDOM bumu mpaka sasa bado kuna nini!

mbota

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,054
Reaction score
585
Salaam kwenu waungwana

Nina mdogo wangu anasoma hapo UDOM, Ila cha kushangaza dogo analalama hadi sasa bado hawajapewa hela ya kujikimu huko mafunzoni, kuna tatizo gani kwa nchi yetu kutokujali wasomi? ninapata shida sana kwamba hawa wakimaliza itakuwaje maana nchi imeamua kuwapeleke vijana wa form six JESHINI kuwajengea uadilifu je watawala wenye madaraka ni waadilifu? Haya mnawafanyia hawa wenye elimu kiasi je wale wasio na elimu?
Kabla hujakifikiria kizazi kijacho Jitadhimini
 
Hela ya field inaliwa bungen na ccm eti katiba? Ngoja waje nayo tutawatupia vyao 2015 wakae uraian halaf waone tabu za kitaa
 

mkuu mwambie ajikaze uchaguzi unakaribia halafu hela hakuna ila za kampeni na posho zipo ha ha ha ha

Natoka Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…