Udom: Call for an interview, academic posts

MAPENZI UPOFU

Member
Joined
Sep 5, 2012
Posts
10
Reaction score
1
Wana JF, nimeckia kuna watu wameshaanza kuitwa kwenye interview udom, naomba kujua ni watu wa post gani na ni lini labda wataanza kuita watu walioapply Academic posts coz mimi ni miongoni mwa watu waloomba T.A... naomba kupata taarifa kuhusu hzo post coz website yao iko down.
asanteni, naomba kuwasilisha hoja
 
heading yako huwezi jua km ya kuomba msaada
ndo maana niliwah fasta!!!!
 
Badilisha hiyo heading bana mbona unaturusha roho...sisi tunajua kuna habari njema tujiandae kwenda kwa interview UDOM halafu unaleta habari za kuuliza uliza tena ...mbona hueleweki mkuu...badilisha heading bana...wasije watu wakakuporomoshea matusi bureee!
 
Anyway.....we mkuu ulyeoko huko ndani...HR wa UDOM tupatieni basi dondoo za ndani...vipi kuna kuitwa kweli huko kwa ajili ya interview...watu wa academics...? kuweni wazalendo bana huku kitaaa noma sana tumechoka mbayaa!
 
ndugu yangu ingekuwa vyema km ungebadilisha headin yako...
however wale walioitwa kuanzia alhamisi ijumaa na jumamosi wiki iliyopita walikuwa wataalum za kada zifuatazo:-
clinical officers &assistant medical officers --alhamisi e2012/11/1
medical officers. watu wa mabara ---ijumaa 2012/11/02
nurse officers n midwife --jumamosi 2012/11/03
so far wengine hawajaitwa bt let wait

all the best wanajf
 

Wadau watashindwa kukupa updates nzuri maana wakiona heading watafungua fasta na kukuta eti unaomba msaada,,,!
 

kaka xiande wanaitwa kwenye interview au kazini? Je majina unayaona wapi.?
 
samahani kaka
waliitwa kwenye interview, kwa wengine tuendele kusubiri mana nilijaribu kudadisi nikaambiwa wataitwa kwa awamu
so kwa wale ambao hawajaitwa soon they wll b calld for interview .
kila la kheri wanajf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…