UDOM combined SELECTED undergraduate students

UDOM combined SELECTED undergraduate students

Kuna wengine majina yao hayapo kwenye batch 2 lakini hapa kwenye new list yapo, try to check.

kwaiyo hii combine list ndo wanafunzi wote wa udom so watawaweka tena kwa batch au ndo wamemaliza hapo??? Naomba mawazo yenu wadau.
 
kwaiyo hii combine list ndo wanafunzi wote wa udom so watawaweka tena kwa batch au ndo wamemaliza hapo??? Naomba mawazo yenu wadau.

hata mimi pia jina langu halipo kwenye hiyo combined list, naamini kuna batch 3 etc.,
 
mbona naliona jina langu ila nikwenye kozi nyingine tofauti na inayosoma kwenye profile langu
 
Asant mkuu hapo kicheko tuu nipo poa nw mawazo yamekwisha. Lakin mkuu admission letter kwa watu wa ed wth ict tayr mie ac yangu inazingua
 
Back
Top Bottom