Jaman sikien na mtoe mawazo yenu, UDOM College of EDUCATION mwaka huu wamepunguza idadi ya udaili wa wanafunz wa degree kwa mwaka wa kwanza badala yake wameanzisha DIPLOMA Lengo nikomesha migomo, je hii njia sahihi ya kukomesha migomo UDOM Kwa kubana nafas kwa wanafunzi wanaojiunga na degree?.

Its good idea kama watakuwa wameanzisha diploma kwani kuna upungufu mkubwa sana wa walimu wa shule za msingi. Kwa secondary tatizo bado lipo ila litakwisha baada ya miaka michache.

Toa source, kama cjakosea Mkwawa university kuna dip je hawagomi? Pia udom informatics wana dip? Je hawagomi....Anyway migomo au njia mbalimbali za kudai haki zipo kuanzia hata primary sema huisikii sana kwenye vyombo vya habari kama ya vyuo vya elimu ya juu.