UDOM First Year Requirments

UDOM First Year Requirments

awena result slip ya fom 6, cheti cha fom 4, chet cha kuzaliwa, bank slip inayoonyesha direct cost na tution fee kama hana mkopo, pamoja na benk slip inayoonyesha malipo ya student union fee pamoja na hela ya kutosha mfukon akiwa anasublia boom kama ana mkopo.
 
Mim nimepoteza cheti cha form 4 cha mwaka 2006 nafanyaje hapo ? Naomba msaada
 
Kitika direct cost sikuna pesa ya bima ndani yake sasa inakuaje kwa mwenye nayo(bima)
 
Samahan wakuu kwan mwenye link ya udom admision letter naomba aniwekee kwan web ya o ya udom inasumbua n balaa msaada pls
 
Back
Top Bottom