Ukweli ni kwamba legacy of UDOM ipo tu, na inatambulika. Chuo ni kizuri sana, ila kina matatizo ya wazi kabisa. Hilo la kutojua mmiliki linaweza kuwa chanzo cha kuwa na majengo yasiyo na ubora. lakini pia kuna mambo ya 10%.:help:
Shida ni kwamba kwa kweli tunahitaji mabadiliko pale, ili tuweze kwenda vizuri. Serikali haichukui hatua.sijui ni kutokuwajibika au ni nini? mimi cjui:wave: Haya bwana ya UDOM tunamuachia Prof. Mlacha.