Udom hakukariki

Joined
Apr 22, 2011
Posts
7
Reaction score
3



kweli DUNIANI hakuna haki ndugu zangu"viongozi wetu ni kati ya makundi ya kwanza kwenda motoni,i swear my MAPIPO;tunanyanyaswa sana,wengine wanasimamishwa masomo eti kisa kudahi haki zetu"naomba vijana tuamke sasa'

"haiwezekani wanafunzi 10 kukuzwa bila sababu yoyote"wametumia uchache wetu na kupata nafasi ya kuwafukuza"sasa hatukubali bora tuondoke wote"hawa ndio maprofessor uchwara ambao hawakutaka college ya social kufanya field"jaman UMOJA NDIO NGUVU,pia kuna viongozi wanao support management tena wametuimbia fedha yetu ya UDOSO,tunaomba ushirikiano wa chuo kizima ili tukomeshe hii hali
 
Are you calling people to strike au mpo kwenye mgomo tayari?tuliza munkari halafu ueleze kiufasaha.
 
hawa madogo huwa wanaleta thread zao hapa nusu nusu , hadi mda mwingine mtu unashindwa kuwasaidia , sasa kama hapa sijui tumsaidie nini, nyie jamaa leteni habari zenu hapa zikiwa zimekamilika ,hapa hata kina Msekwa wanakuja ku-browse hapa kwa hiyo unachokiongea hapa ujue watu wote ndani na nje ya Tanzania wanakisoma hadi ikulu, andaavizuri hoja yako kisha imwage hapa na bila shaka utapata msaada, kwani kufukuzwa wote sio solution , solution ni kukaa chini na kuwasaidia kutatua tatizo ili nyinyi muendelee na kitabu
 

umeona mkuu wanazo kama tatu alafu zipo nusunusu...

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/129252-list-ya-mafisadi-udom.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/129307-wahadhiri-udom-vip.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...kumi-wamefukuzwa-bila-kosa-5.html#post1890143
 
kwa kweri mura vita ni vita
unahamasisha mgomo JF?
 
 
Hahaa,this is superfantastic...eehe mnataka laki tatu za nini enyi wakusoma?
 
Hahaa,this is superfantastic...eehe mnataka laki tatu za nini enyi wakusoma?
 
Hahaa,this is superfantastic...eehe mnataka laki tatu za nini enyi wakusoma?
 
Hahaa,this is superfantastic...eehe mnataka laki tatu za nini enyi wakusoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…