kwa wale wanachuo waliomaliza mwaka masomo 2011/2012 waliokuwa BED SCIENCE walikuwa wanadaiwa 1000000 kwa sababu HESLB ilileta hela pungufu. sasa cha ajabu ni kuwa wahasibu wa college ya education wanakulazimisha kuwapa hiyo pesa kati ya 800000 au 900000 huu ni wizi mkubwa udom.
Kwa hiyo unaleta malalamiko hapa jf ili tufanyaje?me nadhani ungepeleka hzi shida zako pale kwa mlacha ungesaidiwa..sio kila ujinga unaofanyika udom lazima uletwe hapa jf kama taarifa,sometime mnakishushia hadhi chuo chenu nyie wenyewe.