natural science kozi ya bsc with education natatizo nikwamba kwenye profile yangu pamoja na taarifa za bodi ya mkopo vinaonyesha kuwa nimepangiwa udom lakini kwenye list ya majina iliyotolewa na chuo kwenye web yao jina langu halionekani kwenye batch zote.
Nanilipofika chuoni kwenye mbao za matangazo yalikuwa yamebandikwa majina ya waliopata mkopo na tulitakiwa kuangalia sirio namba pamoja na page namba na jina langu lipo na nimepewa asilimia mia.