Ulamaa Hemed
Senior Member
- Sep 21, 2012
- 159
- 16
ccm wapo kwenye mchakato msiogope.Chuo kikuu cha dodoma kinanusurika kuungua baada ya nguzo ya umeme kuanguka ktk school ya humanities na kuwaka moto, hali hiyo imesababisha baadhi ya wanafunzi kuumia na wengine kuzimia hali hiyo imetokea saa sita na nusu usiku
Ndio wasomi wetu hawa!! Je hali ikibadilika halafu kikaungua? Heading itakuwa Udom hakijanusurika kuungua??? Hivi tatizo la mitaala lipo hadi university?
ccm wapo kwenye mchakato msiogope.
Hili tatizo lipo udom tu
Chuo cha kata...
Nadhani Mtoa taarifa alikuwa anatuma kama vile anatoa taarifa kwenye TV au Radio live .LOL
wakati na post hii status bado tukio lilikuwa linaendelea