udom interview

kalisto

Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
33
Reaction score
0
naomba wakuu kama kuna mtu anataarifa zozote kuhusu matangazo ya
interview kwa kazi walizo tangaza mwezi uliopita katika chuo kikuu cha dodoma anifahamishe. Tafaadhali.
 
Bado kaka kwani hata mm nili apply na kila kukicha nashinda internet sijaona kitu
 
Ndugu hali ya kitaa ni ngumu sana , udom nao hawaaminiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…