fikirini Senior Member Joined May 24, 2011 Posts 114 Reaction score 22 Feb 6, 2012 #1 Wadau poleni na pilika za maisha ya kila siku. Nilisikia oral interview imefanyika kwa watu wa janitor wiki iliyopita, naomba kujua kwa wale walioitwa kama na wale wa post za ma-warden waliitwa pia au bado? Nawasilisha.
Wadau poleni na pilika za maisha ya kila siku. Nilisikia oral interview imefanyika kwa watu wa janitor wiki iliyopita, naomba kujua kwa wale walioitwa kama na wale wa post za ma-warden waliitwa pia au bado? Nawasilisha.
Askari wa miguu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2011 Posts 344 Reaction score 124 Feb 6, 2012 #2 jamaa hawako organised mkuu....hawaeleweki hata kidogo
A Agrodealer Senior Member Joined Mar 19, 2011 Posts 107 Reaction score 13 Feb 7, 2012 #3 Wiki iliyopita planning officer nao walifanya oral
N nkwezi Member Joined May 8, 2007 Posts 57 Reaction score 19 Feb 7, 2012 #4 Agrodealer said: Wiki iliyopita planning officer nao walifanya oral Click to expand... Vipi mwenye data kamili kama oral wamemaliza au vipi?
Agrodealer said: Wiki iliyopita planning officer nao walifanya oral Click to expand... Vipi mwenye data kamili kama oral wamemaliza au vipi?