Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
Mungu kakujaalia p*mbu kubwa ila kakunyima akili.Kwana waliilazimisha serikali kuwachagua?Ok tu-assume wanafunzi wa UDOM walifeli 4m6,so kama walifeli ndio hawana haki ya kufanya field?we lazima utakuwa mwehu...Mijitu form six inafeli inakwenda chuo cha kata halafu inataka kupata privilidge kama vipanga wa UD. Leteni ugoko hizo MP wafanye mazoezi nyambaff
Chuo cha kata, msaada wa ccm, jivueni magamba!Miaka 4 is nothing, umeongea mapumba mjomba.Wenzako miez 2 wanafanya mambo ya msingi. Ninamashaka hata ktk malez ya watoto wako.
Poa mkuu, jitahidi muende wengi tena toka college zote mkiwa na sauti moja mtafanikiwa. UMOJA NI NGUVU!Maandamano yanatarajia kuanza saa kumi alfajiri kesho jumatatu kuanzia jengo la utawala UDOM kuelekea viwanja vya bunge mjini Dodoma. Wanafunzi wanaombwa wajitokeze kwa wingi na wasihofie lolote kwani wanapigania haki yao na ni kwa ajili ya maisha yao na manufaa ya taifa zima. Maandamano haya ni ya amani, so Polisi tafadhali, tafadhali, tafadhali jamani, ohoooooo!!!!!
Wewe umesoma chuo gan?Na unanini cha ziada ambacho mwanafunzi wa udom hana?acha pumba we kizee kaoge ulaleChuo cha kata, msaada wa ccm, jivueni magamba!
Punguza jazba,hapa utajaa upepo sana,mwishowe kesho ushndwe kugoma,tafuteni support huko udom hapa jukwaani BIG NO!Wewe umesoma chuo gan?Na unanini cha ziada ambacho mwanafunzi wa udom hana?acha pumba we kizee kaoge ulale
ndugu yangu usiwe na dharau ka za mwanamke wa pwani,tofauti ya UD na UDOM ni kwamba UD wanachukua wanafunz wenye div 1 tu kwa course zenye competition,wakat UDOM wanachukua mpaka wenye div 2,sio kweli kwamba UDOM wanachukua failures,rekebisha post,hakuna chuo cha govt kinachodahili watu ambao hawana qualifications za kusoma degree,unless una-apply 4 diploma or certificate.Mijitu form six inafeli inakwenda chuo cha kata halafu inataka kupata privilidge kama vipanga wa UD. Leteni ugoko hizo MP wafanye mazoezi nyambaff
Yaan hilo jitu bado linamambo ya kizamani ya kujiona superior kwa kusoma chuo fulan,hayo mambo ya kusoma cjui udsm ndo kujiona uko bora yamepitwa na wakati wangapi wamemaliza UD na tunawaona mtaan wanazunguka na vyeti?ndugu yangu usiwe na dharau ka za mwanamke wa pwani,tofauti ya UD na UDOM ni kwamba UD wanachukua wanafunz wenye div 1 tu kwa course zenye competition,wakat UDOM wanachukua mpaka wenye div 2,sio kweli kwamba UDOM wanachukua failures,rekebisha post,hakuna chuo cha govt kinachodahili watu ambao hawana qualifications za kusoma degree,unless una-apply 4 diploma or certificate.
Ni ile ofisi ndogo ya Lumumba au Makao Makuu Dodoma? Kwani wanaruhusiwa kufanya field kwenye ofisi za vyama vya siasa?..............Mimi ofisini kwangu aliwahi kuja mwanafunzi wa field............
Nadhani kuna haja ya wanafunzi wa UDOM kuelimishwa zaidi. Mitaala ya chuo hua inapitishwa na vikao mbalimbali vya vyuo na kubarikiwa na TCU. Sasa kama mtaala hauna field practicals, basi ni jukumu lao kuanzia kule mtaala ulipotoka. Kwenda bungeni ni kuonyesha uwezo mdogo sana wa kuchambua na kupata ufumbuzi wa maswala makubwa. Wanasiasa nao, kwa kiwango hicho hicho watawatumia na kuwavuruga bila hata ya mkakati bayana ya wanachokitaka na kwa kweli ni UJINGA. Wanapaswa kujiridhisha kabla ya kukesha usiku na mijitu ambayo hata elimu yao inatia mashaka. Na hii ndio maana ya elimu ya juuHawa madogo wajinga then migomo yao huwa hawajui kuipanga, ni watu wa kukurupuka sana! Ngoja wakachezee kichapo!