Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
penye kudai haki penye jambo la msingi ambalo halina hata chembe la kukataa iweje siasa itumike kama chanzo cha kuwafukuzisha wana udom kudai field kwani kabla ya kubandikwa majina ya hao wanafunzi kuna kada wa ccm kupitia wall ya facebook tayari alishapost izo taharifi uku akisema lazima waongoze chuo chao uwo ni vijana wa ccm uku pia udini ukitumika.
Nawasilisha
tutajadili vipi wakati thread yenyewe kibogoyo?wekeni issues za msingi hapa mkuuWana-JF na wapenda demokrasia wengine wengi, kuna tatizo kubwa UDOM; tukalijadili kiundani zaidi na hasa haya madai ya ITIKADI ZA SIASA na UDINI vyuoni na jinsi hali hiyo, isipozuiliwa mapema, itakavyoweza kuliathiri taifa letu.
mkuu, km kweli una kijana na unamjali usingesubiri ubandikiwa majina ya watu mia, huna namba yke ya simu. Dah! Umenishangaza great thinker.Sasa si mbandike hayo majina tuone, wengine tuna vijana wetu pale kama nao wapo tuwatumie nauli
mkuu nisikushangaze, mimi nakumbuka wakati nipo chuo miaka ya 80 iliwahi kututokea kule kampala lakini kwa kumuogopa mzee nilishindwa kumwambia, nikarudi nyumbani kimyakimya, sasa hauoni hata yeye inaweza ikatokea hivyomkuu, km kweli una kijana na unamjali usingesubiri ubandikiwa majina ya watu mia, huna namba yke ya simu. Dah! Umenishangaza great thinker.
Tuna zalisha taifa la wasomi wenye mtazamo wa ki-ccm na Ki-chadema! Bahati mbaya hii! Hopeless kabisa!ndugu zangu ata nashindwa kuelezea kwani hasira dhidi ya serikali yetu kwani katika majina hayo kulikuwa na list ya wanafunzi most wanted hasa wali wa upande wa pili ambao ni wanachama wa chadema ila cha kushangaza wakiwa hawajahusika ktk mahandamano lakini majina yao yametoka. Ikiwa Alex Mushi kiongozi wa bavicha taifa pamoja na viongozi wa tawi udom.
Ambacho hujaelewa ni kipi, uliza ueleweshwe..hujaeleweka...hebu jenga hoja vizuri