King junior
Member
- Apr 8, 2011
- 63
- 12
hawa ndio inasemekana ndio waanzilishi wa mgomo, kama umeiona lists hata rais wao yupo na ndio wa kwanza. Hali ni tete, wamekutana saa mbili usiku kulijadili suala hilo la kufukuzwa wenzao.walifanya nini hadi wakafutwa wao peke yao na si wote..?!!
hapa inatakiwa tueleweshane kidogo, UDOM ina college 6, waliogoma ni college 2, ambayo ni NATURAL SCIENCE & MATHEMATICS, College hii wamesimamishwa 24, wakati huohuo college ya social science wamesimamishwa zaidi ya mia mbili ukijumuisha na fuculty ya international wa kimataifa (IR), sikuweza kupata data kamili ya college ya social science ndio maana nikatoa takwimu halisi ya kile ninachokijua kuhusu college ya NATURAL SCIENCE & MATHEMATICS.Mbona thread ya awali ilisema ni wanafunzi 100? Ama wamefanya hivi tena.
hilo ni kweli kabisa, sikutaka niandike kile ambacho sina ushahidi nacho, naomba wewe uliyetoa idadi hii utupe ushahidi.mtoa mada kachukua data za college moja tu.ni more than 300students expelled from the university.
Inaonesha serikali hailitambui hilo, wanachotakiwa ni kufanya vitu kwa uhakika, tatizo wanachanganya siasa na elimu.serikali inatengeneza bomu UDOM! mwanzo walikuwa wanasema UDSM ndio wakorofi sasa naona wanajua kuwa siku zote msomi sio mtu wa kumdanganya.
Inaonesha serikali hailitambui hilo, wanachotakiwa ni kufanya vitu kwa uhakika, tatizo wanachanganya siasa na elimu.serikali inatengeneza bomu UDOM! mwanzo walikuwa wanasema UDSM ndio wakorofi sasa naona wanajua kuwa siku zote msomi sio mtu wa kumdanganya.
Wanafunzi wengine ni, 11. NDASHAU, Elibariki, 12. JOSEPH, Patrick, 13. STAMBULI, Issa, 14. BWIRE, Stephano, 15, KAZAZA, Stanslaus, 16. GULANO, Edwin, 17. JOHN, Sothery, 18. DANIEL, Makuri. 19. MDOGO, Mchani, 20.KILIMO, Thomas, 21. LUKINDO, Seif S. 22. LYAGENDO, Elias 23. MNOSI, Cathbert 24. MOROGORO, Jumapil
nashukuru ndugu yangu kwa kuliona ilo kwani inadhalilisha chuo na degree feki ambazo azijakamilikaHIVI JAMANI INA KUWA JE WANAFUNZI WA UNIVERSITY OF DODOMA (Mchepuo wa Sayansi ya Jamii, Sayansi ya Asili) Kutopewa nafsi ya kufanya mafunzo ya vitendo(FIELD) ile hali kuwa ni vigumu kupata ajira bila ya kuwa na uzoefu wa kazi..... vip vijana wenzangu kuhusu hill hali na je ni aina gani ya wasomi tunaozalisha udom?
umekula nyama ya mdudu nini(puandefu)1. lema Tumsifu
2. Lesaito Tiya
4. Lyimo Frank
11. Ndashau Elibariki
23. Mnosi Cathbet
19. Mdogo Mchami.
Kwa uchache nimetaja hawa ndio vinala wa fujo UDOM, ni WACHAGGA