Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 635
Mkuu wa chuo Prof Kikula kasema baada ya wajumbe 30 wa seneti kukaa wata watunuku shahada ya heshima ya uzamivu a.k.a udaktari mh JK na marehemu Kawawa katika mahafali ya kwanza ya UDOM tar 26 nov 2010.
Mpo??????????
Kuna mchele ulimwagikaga kipindi fulani na hili jina lilikuwemo. Ni mwingine au huyuhuyu?Mkuu wa chuo Prof Kikula kasema baada ya wajumbe 30 wa seneti kukaa wata watunuku shahada ya heshima ya uzamivu a.k.a udaktari mh JK na marehemu Kawawa katika mahafali ya kwanza ya UDOM tar 26 nov 2010.
Mpo??????????
Vilaza wa UDOM jiandaeni kuchakachuliwa akili.
chuo cha CCM hicho lazima kilaza aende kwa vilaza wenzake
Source: Uhuru