A
Anonymous
Guest
Udom wameingia mwaka mwingine wa masomo mwezi wa pili sasa huu unaingia lakini overpayment zetu bado hawajatupa. Na sasa tunaelekea kwenye graduation lakini kimya hamna mpango wowote wakutupa hizo fedha.
Udom msichojua ni kuwa baadhi yetu tunategemea izo fedha ili tufanye graduation tupeni na sisi tujiunge na wenzetu.
Udom msichojua ni kuwa baadhi yetu tunategemea izo fedha ili tufanye graduation tupeni na sisi tujiunge na wenzetu.