udom kunanini mbona haiwiki

gedo

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
314
Reaction score
53
nakipenda sana chuo changu udom,nakitakia mafanikio kwaharaka kama udsm,lakini mafanikio yake yatachelewa sababu yawatendaji wabovu nawasio wajibika...hapa nataka niwaseme watendaji nawahasibu walio takiwa kuturudishia hela zetu zamajoho(elfu20),nawapiga picha zavideo za graduation 2012/2013 vp mbona kimya hadi sasa hamjatulidishia hela wala kututumia dvd zetu mnataka kutudhurumu pesa yetu?kwenye graduu mlikua wakali kama nini kuchukua video nahela zamajoho!acheni kukiangusha chuo chetu bhana ninyi wachache,tupeni pesa zetu na dvd zetu!
 

hahahaha,mbona kichwa cha habari havifanani na maelezo?Tafadhali rudi ng'ong'ona ukajifunze kuandika!
 
Kama umehitimu Udom ni sawa tu, maana umesoma chuo cha kata hata uandishi wako ni wa kikata kata. Big up mkuu!
 
Wewe msomi mzima unakubali kuuziwa dvd isiyokuwepo unatoa kabisa na hela then unaambiwa eti acha namba ya simu tutakutumia mmh nawasiwasi na hiyo elimu yako ya udom kama wewe ndio graduate lakn huwezi kuelewa japo dogo kama hili bila shaka chuo chako kitaendelea kuwa cha kata kinachozalisha bogus graduate kama wewe.
 
Wait please kwanza unataka kiwike kwani umesikia hicho chuo ni jogooo mpk kiwike.

Pili Udsm kina miaka 53 sasa tangu kianze na enzi zake vyuo kama Teku, Saut ,Tumaini ,Mum n.k havikuwepo enzi hzo ukitaja chuo kikuu kila mtu anajua ni UD tu sasa utasemaje kina mafanikio ya haraka unajua maana ya haraka ww.
 
Kutaka kwako kote chuo kiwike kumbe ilikuwa kudai dvd na pesa ya majoho?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
tatizo hamjajikita ktk hoja yangu yamsingi!lkn wabongo ndio mlivyo kila kitu siasa!naikubali nakuipenda sana udom,imenipa elimu bora sana namm nilijisomea kwabidii nikajua mengi so usinifundishe niandike nini sabu mm sio ww!
 

bogus ww baada yakutoa constructive idea unafanya abusiful personal attack kwangu kwa wazo langu,unaibeza udom kwalipi?changia positive tuijenge elimu na nchi yetu,sabu huwezi jua mwanaukoo wako atakuja soma pale na atapata tabu pia.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…