Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Mkuu ulisoma pale au unasoma hapo?Nini maoni kuhusu mpango huu wa wizara ya elimu?
Mimi nilisomaga hapo mkuuMkuu ulisoma pale au unasoma hapo?
Halafu ndaki ya elimu itakuwa na wanafunzi wangapi?
Kumbuka ndaki ya elimu ni bonge la ndaki na ina mjengo mengi ya hostels na venue za kusomea na hesabu zako zinaonesha kuwa watakaosoma ualimu hawatazidi 2000.
Cc Poor Brain
Bwana Likud kwanini unasema hivyo tupe sababuKutoka Simiyu naipongeza serikali kwa maamuzi yake
Kama ni hivyo nahisi wale wa social, humanity, CNMS, COBE etc watahamishiwa COED ili wakabukue kozi zao kule ng'hong'honha nyumbani kwa Nabii Tito.Mimi nilisomaga hapo mkuu
Napajua vizuri sana nilishasomaga hapo wayback
Kuna block A mpaka T hostel na nyingine hapo bado hazijajaa wanafunzi nyingine room empty,
Kuhusu venue kuna theatre 1 to 4 na kuna lecture rooms 1 to 7 kama nakumbuka kwahiyo ni college kubwa ndiyo ila tusubiri kama uamuzi huu utafanyiwa kazi .
Means pia wakufunzi nao watapunguzwa pia🙄
na kwa takwimu za sasa estimated CoEd ina wanafunzi zaid ya elfu 45 ukitoa hawa finalist wanaomaliza keshokutwa .
Kwahiyo swala sio wingi wa wanafunzi mkuu lengo ni kupunguza uwingi wa walimu mitaani
Na soon usishangae mwakani UDOM wakasema ili usome ualimu hapo uwe na division 1 tu yetu macho
Ni kweli lakini nadhani kuna vijitofauti kwenye baadhi ya kozi wanazosoma ila vitu vinafanana kwa kiasi kikubwa sana mkuuSawa tu , Bachelor of education in psychology alafu kuna watu wanasoma bachelor of education in guidance and counseling… mimi naona kitu ni kile kile
Bado na walimu wale wa BAED kule social na humanity nao pia sijui watataka kuwafanyia hivyo hivyo?Kama ni hivyo nahisi wale wa social, humanity, CNMS, COBE etc watahamishiwa COED ili wakabukue kozi zao kule ng'hong'honha nyumbani kwa Nabii Tito.
Kumbe kiswahili cha college ni ndaki.Mkuu ulisoma pale au unasoma hapo?
Halafu ndaki ya elimu itakuwa na wanafunzi wangapi?
Kumbuka ndaki ya elimu ni bonge la ndaki na ina mjengo mengi ya hostels na venue za kusomea na hesabu zako zinaonesha kuwa watakaosoma ualimu hawatazidi 2000.
Cc Poor Brain
Hizi ni muhimu sana mkuu na zina apply kwenye real life sasa sio mtu anasoma education with art au art with education ni upotevu wa muda na pesaZa muhimu sana hapo ni bachelor of education in early childhood, science in ict, na in special needs
Na kwanzia mwaka wa kwanza watakaokuja watatakiwa kwenda field semester zote na zaidi watakapomaliza chuo watatakiwa kujitolea mwaka mzima na watafanya mtihani kabisa mwishoni ili kujua kama eti ameiva!Ila Ccm,kwahyo hapo ndo watakua wametatua tatzo la Ajira??
Duh, umenikumbusha enzi zile nasoma pale, nilikuwa nalala college zote pale. Siku mmoja nilienda kulala COED, usiku kunguni walinibeba mzima mzima maana walikuwa wamenona ile mbaya 😂Bado na walimu wale wa BAED kule social na humanity nao pia sijui watataka kuwafanyia hivyo hivyo?
Ila COED ndio college yenye maradhi ya uhakika kabisa kwa Hostel ila kunguni sasa mzee alooh pale nilikoma hakika hadi nikazoea that time walikuwa sio wengi sana kama sikuhizi
Ndio mkuu iko wazi kabisa hiyoKumbe kiswahili cha college ni ndaki.
Faculty ndio kitivo sio
Hili taifa linazd kupotea chini ya sera za Ccm.Na kwanzia mwaka wa kwanza watakaokuja watatakiwa kwenda field semester zote na zaidi watakapomaliza chuo watatakiwa kujitolea mwaka mzima na watafanya mtihani kabisa mwishoni ili kujua kama eti ameiva!