We unategemea Nini kama washauri wa sirikali ni akina Steve mengere.Ila Ccm,kwahyo hapo ndo watakua wametatua tatzo la Ajira??
Uko sawa mkuu.Kumbe kiswahili cha college ni ndaki.
Faculty ndio kitivo sio
Kozi za engineering zipo mkuu mbona watu wa CIVE wapo na hata CNMS pia hao na COESO pia wanasoma engineering za kila namna .Kabisa, hapo waongeze course za engineering na Afya tu
COED walikuwepo wengi sana 😄 🤣Duh, umenikumbusha enzi zile nasoma pale, nilikuwa nalala college zote pale. Siku mmoja nilienda kulala COED, usiku kunguni walinibeba mzima mzima maana walikuwa wamenona ile mbaya 😂
Imeshaaamuriwa na wakubwa na zaidi tulishakosea tangu nyuma na sasa tunalipa gharama ya makosa yetuHili taifa linazd kupotea chini ya sera za Ccm.
Na kujisahihisha,Ccm hao hao wanagoma tena…Wqkati wao ndo Chanzo.Imeshaaamuriwa na wakubwa na zaidi tulishakosea tangu nyuma na sasa tunalipa gharama ya makosa yetu
SAUT yenyewe imeshajichokea ilikuwa zamani kiufupi bado UDOM wapo juu sana katika ufundishaji alumni watakwambia namna kilivyo chuo competent.Inapendeza, Vyuo vya ualimu vibaki kuwa aina za Saut na Mkwawa
Udom, Udsm, Mzumbe, wajikite kuongeza kozi za muhimu za kisasa
Viswahili vipya hivi vinafurahisha mara sijui Kiswaswadu,Ndio mkuu iko wazi kabisa hiyo
Mie pia niliwaza hiki kitu,Sawa tu , Bachelor of education in psychology alafu kuna watu wanasoma bachelor of education in guidance and counseling… mimi naona kitu ni kile kile
Muda mwengine wanatohoa tu basi tu ili BAKITA waonekane nao wanafanya kaziViswahili vipya hivi vinafurahisha mara sijui Kiswaswadu,
Wanachuo zaidi 45 elfu CoED pekee hapo umetupiga kwa hiyo UDOM jumla kuna wanafunzi wangapi mkuu.Mimi nilisomaga hapo mkuu
Napajua vizuri sana nilishasomaga hapo wayback
Kuna block A mpaka T hostel na nyingine hapo bado hazijajaa wanafunzi nyingine room empty,
Kuhusu venue kuna theatre 1 to 4 na kuna lecture rooms 1 to 7 kama nakumbuka kwahiyo ni college kubwa ndiyo ila tusubiri kama uamuzi huu utafanyiwa kazi .
Means pia wakufunzi nao watapunguzwa pia🙄
na kwa takwimu za sasa estimated CoEd ina wanafunzi zaid ya elfu 45 ukitoa hawa finalist wanaomaliza keshokutwa .
Kwahiyo swala sio wingi wa wanafunzi mkuu lengo ni kupunguza uwingi wa walimu mitaani
Na soon usishangae mwakani UDOM wakasema ili usome ualimu hapo uwe na division 1 tu yetu macho
Tulishakosea nyuma huko na sasa wanajaribu kurekebisha .Isiwe Kwa Udom pekee Bali kwa vyuo vyote!
Tuna hazina ya walimu wengi sana nchini!!
Naona mkuu labda hujafika ungefika ungejuaWanachuo zaidi 45 elfu CoED pekee hapo umetupiga kwa hiyo UDOM jumla kuna wanafunzi wangapi mkuu.
"In education, with education, at education, over education, under education, of education naona zote ni education tu" haya maneno aliongea comedian flani hivi😀Hizi ni muhimu sana mkuu na zina apply kwenye real life sasa sio mtu anasoma education with art au art with education ni upotevu wa muda na pesa
Kule block T hakuna maji 😂.COED walikuwepo wengi sana 😄 🤣
Mwanzo nilipokuwaga first year zile block za first year kule walikuwa wengi ila nilipoingia 2nd year nikahamia kule Block T kule hawapo nadhani mwaka wa kwanza wengi ni usafi zero