Tetesi: UDOM kupunguza programme degree za ualimu, sasa zitabakia nne tu

STEM - Science, Technology, Engineering, Mathematics. Ndio mpango mzima dunia ya leo.
Huwa sioni umuhimu wa kutoa degree ambazo hazifanyi Kazi na sio applicable in our environments
 
Nimesikitika kuwaona hilo kundi la vijana kukaa tu hapo na kuchezea chezea simu masikini.....
 
Nimesikitika kuwaona hilo kundi la vijana kukaa tu hapo na kuchezea chezea simu masikini.....

Serikali haiwezi kujua hilo na mbaya wazazi hawapo exposed na maisha ya kielimu .

Mbowe alipata zero form six Ila alikuwa Anafanya Kazi BOT.

Means ule utaratibu wa zamani wa MTU kumaliza form six au form na kwenda sehemu kupata training then akapewa certification kuwa anaweza Kazi ulikuwa mzuri.


Ukiangalia sote hapa tulitoka chuo hatujui mambo mengi Ila tumejufunza kazini .

Na Serikali inaweza kuboresha hili jambo mtu akiwa interested na mambo socially unamuandaa since akiwa secondary then unampatia training 3-6Months anaingia mtaani akiwa certified .


Ila kilichopo MTU akipiga D zake nne anakimbilia chuo akiwa hata haelewi chochote that's bullshit and wastage of time.
 
Nimeshangazwa
Ni kawaida kukuta vijijini mwalimu mmoja anafundisha madarasa mpaka matatu peke yake tu

Wakati huo serikali iko busy na maturities ya hovyo kila mara

Nadhani shida sio hizi course shida ni mpango mbovu wa serikali tu
Hii ya kusema walimu wametosha Mimi sumiafiki hata kidogo.shule nilipo tuna watoto 1300, Mimi tu ndo mwalimu wa somo la kingereza kwa miaka minne sasa,juzi ndo kaajiriwa mwalimu Mmoja, kwahiyo kwa watoto 1300,walimu wa kingereza ni 2.

Vipindi vya somo la kingereza ni 5 kwa Kila mkondo,na tuna mikondo 13 yenye wanafunzi 100@,

Serikali iajiri walimu
 
Degree za Arts zimekuwa nyingi Sana na mbaya zaidi hakuna walimu Competent .

Kwahiyo nashauri wasimamishe degree za ualimu kwa upande wa Arts zote Ila science iendelee
Wasiziondoe ila waweke limit kwenye kudahili itasaidia kama hivyo alivyoweka mtoa mada 50 graduates wanatosha per entire course
 
Tatizo sio elimu bali Tanzania ni nchi ambayo haizalishi bidhaa (productivity haipo) zote ina-import unategemea nini

Watu hawasomi ili wapate kazi au cheti hapana bali waelimike huo ndo msingi wa elimu
 
Suluhisho sio kufuta baadhi ya course za ualimu bali ni kuajiri sema nchi yetu watu wanapenda sana shortcut wanapretend kama tatizo halipo ila lipo ni aibu sana
 
Wafute na hiyo ya arts, madarasa na hostel watafanyia mambo mengine, Udom ni chuo kikuu hvy hawawezi kukosa masomo mapya
 
Tunafanya ili kutoka hapa tulipokwama.
Kuwekeza kwenye viwanda vya awali ambavyo ni smelter na refining uwepo wa hivi viwanda utafanya kuwa rahisi kuzalisha bidhaa nyingi ambazo tuna-import

Changamoto ya sahivi kwa Tanzania Multiplier effects ni ndogo sana sababu kila kitu tuna-import

Ukiwa na viwanda ni rahisi kuwa na Multiplier effects kubwa ambayo itaongoza shughuli za uchumi na kodi kwa serikali
 
Suluhisho sio kufuta baadhi ya course za ualimu bali ni kuajiri sema nchi yetu watu wanapenda sana shortcut wanapretend kama tatizo halipo ila lipo ni aibu sana
Kenya SHULE ya msingi wameongeza madarasa kutoka 8 Hadi 9, sisi tunapunguza madarasa SHULE ya msingi, kutoka 7 hadi 6, sijui tunajenga, au tunabomoa sijui, lakini ndio shortcut hizo
 
Safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…