Udom kwa waka moto

Udom kwa waka moto

BAPUPEGHE

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Posts
220
Reaction score
38
Ni kinyang'anyilo cha Uchaguzi wa Serikali ya Ya Wanafunzi UDOSO.

Kuna hekaheka kubwa na Mhemuko mkubwa wa huo Uchaguzi. Ni uchaguzi unaovuta hisia kubwa juu ya makundi yanayohasimiana chuoni hapo.

Wagombea wanafanyiwa interview alhamisi ya kesho kutwa. Tutaendelea kupeana taarifa.
 
Chonde chonde waepukane na udini katika uchaguzi wao. Wasiyarudie ya mwaka jana.
 
Kwakua ni jukwaa la siasa naona mpaka siasa za majitaka zinawekwa hapa. Karibu sana
 
Haya bana, lakini naona kama ungepeleka hii mada kwenye jukwaa la Elimu!
 
Ni kinyang'anyilo cha Uchaguzi wa Serikali ya Ya Wanafunzi UDOSO.

Kuna hekaheka kubwa na Mhemuko mkubwa wa huo Uchaguzi. Ni uchaguzi unaovuta hisia kubwa juu ya makundi yanayohasimiana chuoni hapo.

Wagombea wanafanyiwa interview alhamisi ya kesho kutwa. Tutaendelea kupeana taarifa.

tuwekeeni kwanza ile video alizosema mh.30
 
watachakachua tu.. mtashangaa wagombea wote ni mlengo ule!! we kama tops wote wa chuo ni dini moja, wat do u xpct?
 
Yaani wewe ndo una akili za kuendea chooni yaani wewe umeona Udom tu Mbona Udsm nao ni wadini moja husemi Ifm nayo mbona husemi tango pori

Wingu wacha uwongo UDSM siyo dini moja, Hata hivo kwangu mimi sioni kwamba tufike mahali tupeane vyeo kwa kuangalia dini ya mtu, la muhimu ni utendaji kazi wake. Hata hao wa UDOM kuwa dini moja siyo issue, sema sasa wao kama hizo post hawakupewa on merits badala yake wakawa wamepewa kwa misingi ya dini yao, na kama kweli yanayo semwa upo mkono wao hiyo ni hatari kubwa na hawafai kabisa kuendelea kuwa kwenye nafasi hizo!
 
Yaani wewe ndo una akili za kuendea chooni yaani wewe umeona Udom tu Mbona Udsm nao ni wadini moja husemi Ifm nayo mbona husemi tango pori
Acha double standards na wewe. Mbona huuzungumzii udini uliopo chuo cha diplomasia Kurasini, NSSF, Board of external trade, Ocean Road hospital, etc. Tuache kuujadili udini kwa jicho la chongo!
 
ukiyaka kuujadili udini wa udom tuanze kwanza ule udsm,sua,mzumbe,nelson mandela.tangu hivi vyuo vinaanzishwa hajawahi tokea vc mwislaam.itazame necta ilovyofaywa parokia tangu inaundwa mwaka 1973 hajawahi tokea mwrnyekiti mwislam wala katibu mtendaji mwislam.ni wagala tuu tena roman catholic wenvine hawana haki ya kuiongoza necta na inaonekana watoma ndio wenye bahati na akili nyingi sana.dhulma huwa inakikomo naamini hawa wakoloni wa roma wameanza kudondoka .mwendo huu huu mpaka haki sawa kwa watanzania wote.waislam,wakriisto na wapagani.
 
Eti kwa waka moto! Wasome kwa bidii!
 
Udini na udom wapwap na wap somen achen kulalamika wenzenu wanapeleka watoto kindagatern nyie mnasema hiyo ni elimu dunia leo mnaanza kusema ohh vc wa vyuo vkuu vngi ni wakrsto ....ohh katbu mkuu necta ni mkrsto so wakiwa wanawafanyia wanafunzi mitihani...tuache hoja za maji taka tutafte tulipojikwaa ili tuende sawa na hawa wenzetu
 
Dr. Ramadhan Dau ni lecturer wa faculty gani hapo UDOM??
Au ni DEAN??
 
Back
Top Bottom