Ni kweli kuwa udom tumekuwa na matatizo hasa ya bum, na hili limekuwa ni kikwazo kikuu kwa wanafunzi, na kuhusu pesa za field/pt kwa mwaka wa masomo 2024/2015 tumeondoka bila kusaini labda tu kwa wale wa business na health science. Mimi kama kiongozi katika wizara ya mikopo chss nimepewa jukumu la kufuatilia makao makuu ya bod yaani dar ili tupate kujua kinachoendelea ni kipi. Ninadhani baada ya kukamilisha nitawajuza ndugu zangu.