Mao ze dong
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 941
- 1,012
upo college gani?? kama uko Ng'oX niPM unitafute ntakusaidia ni wapi na laptop ipi itakufaa.
mikopo hiiiiiiiiiiiiiii dah
hakua kilicho bora..kama we ni m2 wa kuhonga..waweza inunua then ukamhonga hiyo hiyo..hehe:A S tongue:kipi bora kuhonga madem au kununua kitu cha maana?
hakua kilicho bora..kama we ni m2 wa kuhonga..waweza inunua then ukamhonga hiyo hiyo..hehe:A S tongue:
wakuu na mimi nataka yangu laki 6..kiboom changu