UDOM:mgomo wanukia

CHIPANJE

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2011
Posts
321
Reaction score
53
Wanafunzi wa kitivo cha elimu wamekutanika katika moja ya majengo ya hostel linaloitwa block F.

Mkusanyiko huo ambao umehitimisha kwa makubaliano kua wakutane kesho sa11 alfajiri kuelekea utawala,una lengo la kushinikiza utawala kuwapa hela zao ambazo walitakiwa kupewa tangu tar 16 ya mwezi Desemba 2011.
 

Wana haki zote kudai pesa!

Haiwezekani 9/12/2011 mambo ya Uhuru igharamiwe kwa Tsh.64BL halafu Ndg zetu & wanafunzi wetu wapate mahitaji ya lazima toka serikalini kwa sababu ama kwa faida ya watu kumi na! Wanafunzi (Taifa la Kesho) Wana kila sababu ya kugoma,na gomeni mpaka mpate haki yenu ya msingi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…