Ndg zangu ni aibu sana kwa UDOM kutota2a matatizo ya wanafunzi wake,2nahtaji kupata wataalamu wenye vigezo na uzalendo waku2mikia Tanzania.Kwa hli la BED PPM mwaka wa pili na watatu kutopewa taarifa juu ya upatikanaji wa fedha zao za kujikimu mnawambia nini watanzania hasa wanaotegemea HESLB kuwasaidia kusoma? UDOM hebu toeni taarifa kwa wanafunzi wenu 2mechoka kuwakopesha hao ndg zenu,wapeni boom lao walpe madeni.