Udom PGDE Chukulia sala hii ni yako binafsi ninakuombea

Udom PGDE Chukulia sala hii ni yako binafsi ninakuombea

10Shoka14

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
305
Reaction score
122
Ndg nakutakia mwanzo mzuri wa mitihani yako utakayoianza leo na mwisho mzuri pia,upako wa Alfa ukaanze na kudumu nawe mpaka pale upako wa Omega utakapokupokea na kwenda kumaliza nawe.

Damu ya Yesu naiachilia juu yako ikakulinde katika Roho,Mwili na Nafsi na Roho Saba za Mungu ziwe nawe daima zikikutendea yale uyaombayo mbele ya Kiti Cha Rehema aketipo Mtakatifu wa Watakatifu.

Yesu Kristo Akutangulie
 
Amen Amen AMEN


*****************

msisahau Wadau

Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

ingia kwa link hii chini

http://mama.mtv.com/voting/


Bonyeza bonyeza VOTE usichoke

******************
 
Amen Amen AMEN


*****************

msisahau Wadau

Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

ingia kwa link hii chini

MAMA 2015


Bonyeza bonyeza VOTE usichoke

******************
Tutafanyia kazi na hilo la kura pia
 
Back
Top Bottom