Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Jamani hivi join instruction zinatoka lini?
watoe tu mbona wanapewa nyingi tu kutoka heslb
kaka hapo utata,yan walisema mwazo wa sept sasa n kribia na katikati ya mwez,labda wanasubir watoe pa1 na HESLB
huo ni mrad wa mtu, haiwezekan watu tumelipa laki moja first year ya medical safar hii tulipe tena, wanaboa
kaka hapo utata,yan walisema mwazo wa sept sasa n kribia na katikati ya mwez,labda wanasubir watoe pa1 na HESLB
unaenda chukua cozi gan?Me dada
unaenda chukua cozi gan?
ni course nzuri n ni ya watu wachache saana! all th bestBed with ict
Bed with ict
Peoplee
ungeandika udom second year. Au udom mwaka wa pili au kwenye years uweke mkato juu kha,