Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
university sio chuo cha kwenye nyumba za kulala (soft skills college). Kunahitajika vikao vikae kupitisha, hii huchukua muda
Tuliza moyo dogo mwezi wa tisa mwanzoni kila kitu kitakuwa hadharani. Kama TCU wamekuchagua usiwe na hofu umepata nafasi. Jiandae tu kukaza msuli maana university si mchezo dogo.asante mkuu bt kwann vyuo vingne wameshatoa kwan wenyewe hawajafanya hivyo vikao?
Tuliza moyo dogo mwezi wa tisa mwanzoni kila kitu kitakuwa hadharani. Kama TCU wamekuchagua usiwe na hofu umepata nafasi. Jiandae tu kukaza msuli maana university si mchezo dogo.
Tuliza moyo dogo mwezi wa tisa mwanzoni kila kitu kitakuwa hadharani. Kama TCU wamekuchagua usiwe na hofu umepata nafasi. Jiandae tu kukaza msuli maana university si mchezo dogo.