Udom udom udom,why?

Flammable

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
872
Reaction score
103
Kwanini udom hawataki kutoa selection zao mapema ili watu tujiandae?au ndo hawajafanya final approval?
 
university sio chuo cha kwenye nyumba za kulala (soft skills college). Kunahitajika vikao vikae kupitisha, hii huchukua muda
 
asante mkuu bt kwann vyuo vingne wameshatoa kwan wenyewe hawajafanya hivyo vikao?
Tuliza moyo dogo mwezi wa tisa mwanzoni kila kitu kitakuwa hadharani. Kama TCU wamekuchagua usiwe na hofu umepata nafasi. Jiandae tu kukaza msuli maana university si mchezo dogo.
 
Tuliza moyo dogo mwezi wa tisa mwanzoni kila kitu kitakuwa hadharani. Kama TCU wamekuchagua usiwe na hofu umepata nafasi. Jiandae tu kukaza msuli maana university si mchezo dogo.

Asante mkubwa
 
Tuliza moyo dogo mwezi wa tisa mwanzoni kila kitu kitakuwa hadharani. Kama TCU wamekuchagua usiwe na hofu umepata nafasi. Jiandae tu kukaza msuli maana university si mchezo dogo.

Asante mkubwa ngoja nijipange coz naamin airtel yatosha
 
kwa detail nilizonazo mimi ni kwamba kuna vyuo vingine vinafungua mpaka mwezi wa kumi tarehe za mwisho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…