Hivi wewe umesoma chuo gani waliokufundisha kuandika neno "mwajili", peleka ukilaza wako mbele na gentmn yako.
Hivi wewe umesoma chuo gani waliokufundisha kuandika neno "mwajili", peleka ukilaza wako mbele na gentmn yako.
!
!
mie ni form four tu kaka ila najielewa kuliko wahitimu wengi wa udom japo sio wote wa udom.....kama chuo kikuu mko katika hali hii nadhani haina haja ya kusoma.
4m 4 ww utakuwa wa div 5 sio bure.
!
!
samahani lakini,ila wawakilishi wenu huku mtaani ni majanga. Nilikuwa na demu wangu huko,na yeye duh kumkichwa ni sifuri ila nae kahitimu eti. Dah......hivi wanafundishaje pale!au mitihani hakuna imefutwa?mh
NDIBALEMA juuuu juuuuuu zaid
na udom juuu juuu zaidi
nafurahi sana kuona udom inajadiliwa kila wakati! yani kuna watu wame-fall in love na udom kiasi cha kupata ugonjwa wa mapenzi uitwao 'hysteria' na kuwapelekea kutamka udom udom udom udom bila kujitambua. asanteni kwa kutufanya maarufu m2letee watoto wenu 2wapge shule. nasema tena asanteni mungu awabariki!

mi nnachojua chuoni hakuna mtu wa kukuelekekeza ka mwanafunz wa primary....kama hao unaowajua walikuwa hawajishughulish lazima waonekane vilaza....hapo hutakiw kulaumu chuo wapaswa kumlaum huyo mwenye tatizo.....hivi ukiwa na wanafunz 1000 unategemea wote wawe wanaweza lazima kuna vilaza kama huyo ndugu na mkeo....kabla hujapost upumbavu tumia akili japo kidooooogo.!
!
udom ni chuo kikuu kumbe?!
nilijua ni sekondari maana wanaomaliza pale,duh!
kuna barua ya hro wangu amemaliza hapo natamani kuattach barua yake aliyoniandikia muda mrefu lakini naogopaogopa. Siku nikichukia nitaituma humu.
Udom ni bomu kabis@
nafurahi sana kuona udom inajadiliwa kila wakati! yani kuna watu wame-fall in love na udom kiasi cha kupata ugonjwa wa mapenzi uitwao 'hysteria' na kuwapelekea kutamka udom udom udom udom bila kujitambua. asanteni kwa kutufanya maarufu m2letee watoto wenu 2wapge shule. nasema tena asanteni mungu awabariki!
kumbe una chet cha form four?? duuuh c makosa yako....hujui usemalo!
!
by the time ilikuwa haipo division five bana, ilikuwa mwisho ni zero na ulikuwa hupati cheti, na mie sikupata Zero mkuu. Nina cheti cha form four na ndicho kinanipa kula mjini hapa, shwaini wewe!
mi nnachojua chuoni hakuna mtu wa kukuelekekeza ka mwanafunz wa primary....kama hao unaowajua walikuwa hawajishughulish lazima waonekane vilaza....hapo hutakiw kulaumu chuo wapaswa kumlaum huyo mwenye tatizo.....hivi ukiwa na wanafunz 1000 unategemea wote wawe wanaweza lazima kuna vilaza kama huyo ndugu na mkeo....kabla hujapost upumbavu tumia akili japo kidooooogo.
kumbe una chet cha form four?? duuuh c makosa yako....hujui usemalo
we ulikaririshwa na hako kachet kako ka form four,,,nahs ulibahatisha division four.Pole mdogo wetu jisogeze upate walau chet cha form six bas!
!
Mh!Ngoja nikuteme tu mtu wangu.