Udom udom udom

Chuo kikuu??
Au choo kikuu?
uuliza sio ujinga jamani....
 
Mtasema xna kuhusu UDOM ila cc wanafunz ha2wajal,ila mnazid kukipa cfa 2,achen ushamba,% kumbwa ya wa2 wanaokiponda n wale ambao wamekosa nafas....
 
Mtasema xna kuhusu UDOM ila cc wanafunz ha2wajal,ila mnazid kukipa cfa 2,achen ushamba,% kumbwa ya wa2 wanaokiponda n wale ambao wamekosa nafas....

R u serious?
Mi natamani hata chet changu kiandikwe cbe badala ya udom we unatapika ujinga gani hapa?eti waliokosa nafasi una akili wewe?
Au unasoma udom ya tofauti?mitoto mingine bana
 

Acha ujinga ww udom inaongoza kwa kutoajiri wanafunzi wake unapata picha gani?
Unatoa product ambayo huna Imani nayo simple way ni product ya aina gani?sijui mnatetea uozo gani
 

Kusoma BAf na kua mzinzi vinauhusiano gani?
 
Hawa jamaa wana akili sana hawawezi kuchanganya siasa na taaluma zao. maana sasa hiv mambo yote ya kijamii yanausiasasiasa tu hata kama hayahusiani na siasa lakin mtu atayafanya yawe ya kisiasa hii ni nonesence.

R u sure au unaongea sababu hujapiga mswaki asubuhi?
Kuna chuo kina siasa kama udom?
 

Hawana hayo mambo wakiwa huku au wakiwa udom?
Where he zote za ccm shabiby analeta mabasi kukusanya wanafunzi na ahadi za menu bure but ukikutwa umevaa gwanda au kaki chuo huna right on spot
2nd jaribu kutafuta dvd za watu waliorwkodiwa wakifanya mikutano usiku kuanzia zile za waislAmu na za kuratibu kampeni za uchaguzi Wa chuo utaona ni kiasi gain udom ni siasa na udini n the deny thng is mlacha ndo anayesupport
 

Kwa Maelezo yako t means hujasoma.udom
Au hujashiriki kampeni au hushirikiani na watu otherwise ungejua haya yote n how mlacha has say kuliko kikula
N how he is promoting udini na siasa
 
Last edited by a moderator:
Kijana hatuko hapa ili kudanganya bali kujadili mada iliyoletwa jamvini.Km kuna kitu hakiko sawa unaweza kuni-criticize na sio kunisingizia uongo. Au unadhani chuo kuanza 2007 haiwezekani watu wakawa wanasoma PhD sasa hivi??!!

Atakua hajui kama udom wanatoa phd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…