udom update

udom update

xiande

Member
Joined
Oct 3, 2012
Posts
90
Reaction score
12
kwa heshma wanasalimu wote wana jf
update zilizonifikia hapa punde soon watu wataitwa kwa interview ila applicants ni wengi sana . kwa hali ilivyo bora watu tufikiria outsides ths box for rilly
jst imagine post inahitaji watu 3 bt cha kushangaza u av 200 applicants
dah chukua hatua!!!!!!
 
Wingi wa watu si kigezo bro, hata wakiita 1400 kwa post moja. kinachotakiwa kue na usawa kwa wote.
 
Ajira zimekuwa shida mbaya zaidi kwa asiyekuwa na mgongo wa amjuae
 
Ama kweli bongo hii kama umetoka familia ya umaskin na hata kama una degree yako kupata kazi ni ngumu, nimeamini usemi usemao maji hufuata mkondo, watoto wa wakurujenzi akifika mwaka wa mwisho chuo kashaju anaenda kufanya kazi wapi, Naomba hizo za UDOM zikitoka kwa interview tujulishane jaman sijui nitaitwa au lah! maana tumekua wasindikizaji tu.
 
kwa heshma wanasalimu wote wana jf
update zilizonifikia hapa punde soon watu wataitwa kwa interview ila applicants ni wengi sana . kwa hali ilivyo bora watu tufikiria outsides ths box for rilly
jst imagine post inahitaji watu 3 bt cha kushangaza u av 200 applicants
dah chukua hatua!!!!!!

udom naipenda sana.
 
Back
Top Bottom