udom, vp kinaeleweka?

hv wadau naombeni kujuzwa
wale ambao walifanya oral interview mwanzoni washaitwa??kwasababu watu wameanza kufanya oral interview tokea november 02 , asa sijui hawa watu wanaita watu kwa sasa ambao walishafanya oral or wanasubiria hadi orodho za kada zote zikamileke???
 
waoitwa kwa sasa ni wapia boc kama ulishafanya intvw subiri tu labda wanamaliza kwanza mzunguko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…